Wednesday, April 29, 2020

IDD AMIN DADA

Mwaka 1971 aliipindua serikali ya Milton Obote, na kujitangaza kuwa yeye ndiye Rais wa Uganda. Amin aliiongoza nchi ya Uganda kwa mkono wa Chuma,        Alizaliwa mnamo 1925 huko KOBOKO kaskazini magharibi mwa Uganda, Wazazi wake walitenga kutokana na matatizo ya kifamilia ambayo sitayaelezea hapa         Miaka ya 1946 alijiunga na jeshi la King's African Rifles (KAR) na mwaka 1949 alipelekwa Somalia kwenda kupigana na wahuni wakisomali           Miaka ya 1951-1960 Amin akiwa mwanajeshi alitwaa ubingwa wa mashindano ya heavy weight boxing         Amin aliondolewa madarakani baada ya kupigwa na majeshi ya nchi jirani, jeshi tiifu la Tanzania 🇹🇿 chini ya amiri jeshi mkuu Hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere

No comments:

Post a Comment

HISTORIA YA LUGHA Nadharia juu ya lugha ya kiswahili Kuna nadharia mbali mbali zinazoelezea asili ya lugha ya ...