Inasadikika kuwa alizaliwa mnamo 8th January 1984 ni mjukuu wa Kim II Sung na mtoto wa Kim Jong il
Ana shahada mbili, moja ikiwa ya Fizikia aliyoipata katika chuo cha Kim II Sung na moja ni ya Jeshi aliyoipata katika chuo cha Kim II Sung pia
Huyu si mwingine ni Kim Jong Un mtoto wa pili wa Kim Jong il, Kim Jong Un ndiye mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi nchini Korea ya kaskazini
Inakadiriwa aliendesha operation ya kuondoa wasaliti katika Serikali ya Kim Jong il, operesheni iliyogharimu karibia watu 400 maisha pamoja kufungwa jela
Ni operesheni ambayo haijawahi kutokea tangu uongozi wa babu yake bwana Kim II Sung na alipewa heshima kubwa sana nchini mwake
Wednesday, April 29, 2020
KIM JONG UN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HISTORIA YA LUGHA Nadharia juu ya lugha ya kiswahili Kuna nadharia mbali mbali zinazoelezea asili ya lugha ya ...
-
DHANA YA SARUFI Sarufi ni taaluma ya lugha inayochunguza na kuchanganua vipashio na kanuni mbalimbali zinazotawala muundo wa lugha, Matind...
-
Inasadikika kuwa alizaliwa mnamo 8th January 1984 ni mjukuu wa Kim II Sung na mtoto wa Kim Jong il Ana shahada mbili, moja ikiwa ya Fiz...
-
HISTORIA YA LUGHA Nadharia juu ya lugha ya kiswahili Kuna nadharia mbali mbali zinazoelezea asili ya lugha ya ...

No comments:
Post a Comment